𝗖𝗼𝗜𝗖𝗧 𝗥𝗘𝗦𝗘𝗔𝗥𝗖𝗛 𝗔𝗡𝗗 𝗜𝗡𝗡𝗢𝗩𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 𝗪𝗘𝗘𝗞 2026 – 𝗗𝗔𝗬 𝗢𝗡𝗘
Annnouncement

𝗖𝗼𝗜𝗖𝗧 𝗥𝗘𝗦𝗘𝗔𝗥𝗖𝗛 𝗔𝗡𝗗 𝗜𝗡𝗡𝗢𝗩𝗔𝗧𝗜𝗢𝗡 𝗪𝗘𝗘𝗞 2026 – 𝗗𝗔𝗬 𝗢𝗡𝗘

Posted on May 19, 2026

Rasi wa Ndaki ya TEHAMA UDSM, 𝗣𝗿𝗼𝗳. 𝗕𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗝. 𝗠𝗮𝗶𝘀𝗲𝗹𝗶, akitembelea mabanda mbalimbali ya ubunifu pamoja na kushirikiana na wadau wa TEHAMA katika kuangazia tafiti, teknolojia na bunifu zinazofanywa na wanafunzi pamoja na watafiti wa CoICT.

Maonesho hayo yameendelea kutoa jukwaa la kuhamasisha ubunifu, tafiti zenye tija, na maendeleo ya teknolojia kwa jamii. 

Usikose kuungana nasi kesho na kesho kutwa hapa CoICT UDSM kujionea bunifu mbalimbali za kiteknolojia, kujifunza kutoka kwa watafiti na wabunifu, pamoja na kushuhudia namna teknolojia inavyoendelea kuleta suluhisho kwa jamii.